9
SWAHILI AB INITIO STANDARD LEVEL PAPER 1 SOUAHLI AB INITIO NIVEAU MOYEN PREUVE 1 SUAHELI AB INITIO NIVEL MEDIO PRUEBA 1 Monday 6 May 2002 (morning) Lundi 6 mai 2002 (matin) Lunes 6 de mayo de 2002 (maæana) 1 h 30 m M02/051/S(1)T c IB DIPLOMA PROGRAMME PROGRAMME DU DIPLME DU BI PROGRAMA DEL DIPLOMA DEL BI 222-588T 9 pages/pÆginas TEXT BOOKLET INSTRUCTIONS TO CANDIDATES ! Do not open this booklet until instructed to do so. ! This booklet contains all of the texts required for Paper 1 (Text handling). ! Answer the questions in the Question and Answer Booklet provided. LIVRET DE TEXTES INSTRUCTIONS DESTINES AUX CANDIDATS ! Ne pas ouvrir ce livret avant dy Œtre autorisØ. ! Ce livret contient tous les textes nØcessaires lØpreuve 1 (Lecture interactive). ! RØpondre toutes les questions dans le livret de questions et rØponses. CUADERNO DE TEXTOS INSTRUCCIONES PARA LOS ALUMNOS ! No abra este cuaderno hasta que se lo autoricen. ! Este cuaderno contiene todos los textos requeridos para la Prueba 1 (Manejo y comprensin de textos). ! Conteste todas las preguntas en el cuaderno de preguntas y respuestas.

SWAHILI AB INITIO Œ STANDARD LEVEL Œ PAPER 1 …...Barua ya Maombi Wanjiru Kamau, S.L.P. 523, Nyeri. 12 Februari, 2001 Bi Sara Otieno, Shule ya Darajani, S.L.P. 123, Nyeri. ... Albamu

  • Upload
    others

  • View
    52

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: SWAHILI AB INITIO Œ STANDARD LEVEL Œ PAPER 1 …...Barua ya Maombi Wanjiru Kamau, S.L.P. 523, Nyeri. 12 Februari, 2001 Bi Sara Otieno, Shule ya Darajani, S.L.P. 123, Nyeri. ... Albamu

SWAHILI AB INITIO � STANDARD LEVEL � PAPER 1SOUAHÉLI AB INITIO � NIVEAU MOYEN � ÉPREUVE 1SUAHELI AB INITIO � NIVEL MEDIO � PRUEBA 1

Monday 6 May 2002 (morning)Lundi 6 mai 2002 (matin)Lunes 6 de mayo de 2002 (mañana)

1 h 30 m

M02/051/S(1)T

cIB DIPLOMA PROGRAMMEPROGRAMME DU DIPLÔME DU BIPROGRAMA DEL DIPLOMA DEL BI

222-588T 9 pages/páginas

TEXT BOOKLET � INSTRUCTIONS TO CANDIDATES

! Do not open this booklet until instructed to do so.! This booklet contains all of the texts required for Paper 1 (Text handling).! Answer the questions in the Question and Answer Booklet provided.

LIVRET DE TEXTES � INSTRUCTIONS DESTINÉES AUX CANDIDATS

! Ne pas ouvrir ce livret avant d�y être autorisé.! Ce livret contient tous les textes nécessaires à l�épreuve 1 (Lecture interactive).! Répondre à toutes les questions dans le livret de questions et réponses.

CUADERNO DE TEXTOS � INSTRUCCIONES PARA LOS ALUMNOS

! No abra este cuaderno hasta que se lo autoricen. ! Este cuaderno contiene todos los textos requeridos para la Prueba 1 (Manejo y comprensión de textos).! Conteste todas las preguntas en el cuaderno de preguntas y respuestas.

Page 2: SWAHILI AB INITIO Œ STANDARD LEVEL Œ PAPER 1 …...Barua ya Maombi Wanjiru Kamau, S.L.P. 523, Nyeri. 12 Februari, 2001 Bi Sara Otieno, Shule ya Darajani, S.L.P. 123, Nyeri. ... Albamu

222-588T

� 2 � M02/051/S(1)T

Blank page Página en blanco

Page vierge

Page 3: SWAHILI AB INITIO Œ STANDARD LEVEL Œ PAPER 1 …...Barua ya Maombi Wanjiru Kamau, S.L.P. 523, Nyeri. 12 Februari, 2001 Bi Sara Otieno, Shule ya Darajani, S.L.P. 123, Nyeri. ... Albamu

KIFUNGU A

Barua ya Maombi

Wanjiru Kamau,

S.L.P. 523,

Nyeri.

12 Februari, 2001

Bi Sara Otieno,

Shule ya Darajani,

S.L.P. 123,

Nyeri.

Mpendwa Mwalimu,

Nimepata habari kuwa babangu ni mgonjwa huko mjini Nairobi.

Habari hii ililetwa jana usiku.

Mamangu pamoja na ndugu zangu wadogo wataondoka leo kwenda

huko Nairobi.

Tafadhali nipe ruhusa ya kwenda Nairobi pamoja na mama. Nataraji

kurudi shule keshokutwa.

Ahsante sana.

Mwanafunzi wako mwaminifu,

Wanjiru Kamau.

222-588T Turn over/Tournez la page/Véase al dorso

� 3 � M02/051/S(1)T

Page 4: SWAHILI AB INITIO Œ STANDARD LEVEL Œ PAPER 1 …...Barua ya Maombi Wanjiru Kamau, S.L.P. 523, Nyeri. 12 Februari, 2001 Bi Sara Otieno, Shule ya Darajani, S.L.P. 123, Nyeri. ... Albamu

KIFUNGU B

Albamu ya Picha na Kumbukumbu

Likizo iliyopita mimi na rafiki zangu tulitembelea sehemu mbalimbali. Hiki ni kitabu cha picha nacha kumbukumbu ya safari hiyo.

Siku za wiki tuliogelea na wakatimwingine tulitembeatembea tusehemu za pwani huko Zanzibar.

Lakini vilevile tulifanya michezo mingi,hasa michezo ya kukimbia na mazoezimbalimbali ya mwili ili kujenga nakulinda afya zetu.

Kila jioni, baada yamatembezi na baada yamichezo tulioga nakuvaa vizuri halafutulikula chakula kitamuna kunywa maji yamatunda mbalimbali.

222-588T

� 4 � M02/051/S(1)T

Page 5: SWAHILI AB INITIO Œ STANDARD LEVEL Œ PAPER 1 …...Barua ya Maombi Wanjiru Kamau, S.L.P. 523, Nyeri. 12 Februari, 2001 Bi Sara Otieno, Shule ya Darajani, S.L.P. 123, Nyeri. ... Albamu

Mara kwa mara, baada ya chakula chajioni tulipumzika kidogo halafubaadaye tulicheza muziki na kufurahisana, hasa wakati wa wikiendi.

Pia tulitembelea sehemu maarufu nakujionea wenyewe majumba mbalimbali.Tulishindana kuvaa nguo nzuri natulipitapita mjini kwenye watu wengi.

Hatimaye, kila mmoja wetu alirudi chumbani kwake hotelini kulala usingizi mzuri nakujiandaa kwa siku iliyofuatia. Hii ilikuwa safari nzuri sana kwa sababu tulisafiri baada yamitihani yetu. Natumaini mwaka kesho nitapata nafasi tena ya kusafiri.

222-588T Turn over/Tournez la page/Véase al dorso

� 5 � M02/051/S(1)T

Page 6: SWAHILI AB INITIO Œ STANDARD LEVEL Œ PAPER 1 …...Barua ya Maombi Wanjiru Kamau, S.L.P. 523, Nyeri. 12 Februari, 2001 Bi Sara Otieno, Shule ya Darajani, S.L.P. 123, Nyeri. ... Albamu

KIFUNGU C

Ngoma ya ajabu2. Baada ya safari ndefu aliona mwembe mmoja.

Alikwenda mpaka karibu yake. Alipotazamajuu, aliona maembe matatu mabivu.

[ � 22 � ]

1. Mwaka mmoja mvua ilichelewa kunyesha.

Majani yote yalikauka pale mjini kwa kobe.

[ � X � ]

4. Shimoni kobe aliona giza sana. Mara taaikawaka ndani ya shimo. Akaona vijituvitatu vimekaa. Kimoja kilikuwa kimebebangoma.

Sisi tunapenda kula maembe.

Chukua hii ngoma badala ya

maembe. Ukiipiga, itatoa

vyakula.

3. Aliyachuma maembe. Lakini alipoteremkachini, hakuyaona. Chini ya mwembe aliona

shimo.

[ � 23 � ]

6. Kila siku kobe alipiga ngoma. Vyakula vilitokana wanyama walikuja kula. Siku moja ngomailipasuka na vyakula havikutoka tena.Wanyama walikasirika.

Sisi tunaona njaa Usichelewe.

5. Kobe alichukua ngoma mpaka nyumbanikwake. Alipoipiga, vyakula vingi vilitoka.Wanyama wengi walikuja.

[ � 25 � ]

222-588T

� 6 � M02/051/S(1)T

[ � 24 � ]

[ � 26 � ]

Page 7: SWAHILI AB INITIO Œ STANDARD LEVEL Œ PAPER 1 …...Barua ya Maombi Wanjiru Kamau, S.L.P. 523, Nyeri. 12 Februari, 2001 Bi Sara Otieno, Shule ya Darajani, S.L.P. 123, Nyeri. ... Albamu

8. Alipoingia ndani, kobe alivikuta tena vilevijitu vitatu. Kimoja kilikuwa kimekamata

lile embe la kobe.

Hii ngoma chukua.

7. Kobe alirudi tena kwa wale vijltu. Alitafutamaembe mabivu hakupata. Alipata embe

moja tu bichi.

[ � 27 � ]

10. Kobe aliiweka ngoma chini. Alipoipigamwanzo, vyakula havikutoka. Akapiga maraya pili. Lo! Walitoka nyuki wengi sana.Kobe alirusha ngoma kando.

9. Kobe alirudi mjini kwa haraka. Aliwakuta

wanyama wengi njiani wanangoja.

[ � 29 � ]

Vyakula vile, twendeni!

Juu.Kobe Juu!

12. Baada ya nyuki kuondoka, wanyama waliruditena kwa kobe. Walikasirika sana.

11. Wanyama walisahau njaa, wakakimbia kilaupande. Nyuki waliwafukuza na kuwauma.Kobe peke yake hakupatikana na nyuki.

Mama wee!

Nyuki!

222-588T Turn over/Tournez la page/Véase al dorso

� 7 � M02/051/S(1)T

[ � 28 � ]

Wewe ulileta nyuki ndani

ya ngoma na kisha ukajificha.

Kaa humo ndani. Ukitoka

tutakupiga.

Page 8: SWAHILI AB INITIO Œ STANDARD LEVEL Œ PAPER 1 …...Barua ya Maombi Wanjiru Kamau, S.L.P. 523, Nyeri. 12 Februari, 2001 Bi Sara Otieno, Shule ya Darajani, S.L.P. 123, Nyeri. ... Albamu

KIFUNGU D

SIKU KUMI ZA MGENI

1 Mgeni siku ya kwanzaMpe mchuzi na wali Tia katika sahani Mkaribishe mgeni.

2 Mgeni siku ya pili Mpe sima ya ugali Umpe lile na hili Umuongeze mgeni.

3 Mgeni siku ya tatu Nyumbani hamna kitu Ni chakula kichache tu Pika ule na mgeni.

4 Mgeni siku ya nne Mpe jembe akalime Akirudi muagane Aende kwao mgeni.

5 Mgeni siku ya tano Mwembamba kama sindano Nyumbani ni minong’ono Asemwa yeye mgeni.

6 Mgeni siku ya sita Mkila mnajificha Uvunguni mwajificha Afichwa yeye mgeni.

7 Mgeni siku ya saba “Njoo nje tuagane!” Akitoka humo ndani “Kwaheri nenda mgeni!”

8 Siku za nane na tisa“Nenda we mgeni, nenda! Usirudi tena ndani! Usirudi ee mgeni!”

9 Mgeni siku ya kumi Kwa mateke na magumi Afukuzwaye ni nani? Afukuzwaye ni mgeni.

222-588T

� 8 � M02/051/S(1)T

Page 9: SWAHILI AB INITIO Œ STANDARD LEVEL Œ PAPER 1 …...Barua ya Maombi Wanjiru Kamau, S.L.P. 523, Nyeri. 12 Februari, 2001 Bi Sara Otieno, Shule ya Darajani, S.L.P. 123, Nyeri. ... Albamu

KIFUNGU D

CHUO CHA UFUNDI � VETA DAR ES SALAAM

Kwa sababu vijana wengi wanapomaliza shule hawapati kazi haraka, Chuo

cha Ufundi cha Dar es Salaam kinatoa mafunzo yanayowasaidia vijana

kama hao. Chuo kimeanzisha mafunzo ya muda mfupi na muda mrefu.

Kwa sasa kinatoa mafunzo hayo katika nyanja mbalimbali, pamoja na:

Kutengeneza batiki, Kuandaa vyakula mbalimbali, Mafunzo ya

uuzaji wa bidhaa, Lugha ya Kiingereza, Useremala, Umeme, Ufundi

wa magari, Kompyuta, Utengenezaji wa nywele, Udereva, Uashi,

Uchoraji na uandishi wa matangazo, Utangazaji wa biashara.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:

Mkuu wa Chuo, VETA Dar es Salaam

S.L.P. 40274

Simu: 022 2862652 / 2862583

Faksi: 022 2862651

Jiunge na chuo chetu ufanikiwe katika maisha. Njoo usome katika

mazingira mazuri ya kuvutia, na waalimu wazuri sana

Walio na ujuzi mkubwa wa masomo yao.

222-588T

� 9 � M02/051/S(1)T